Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 16, 2017

ISSA HAYATOU CHALI CAF, BAADA YA KUKAA MADARAKANI TANGU 1988

Issa-Hayatou
Rais wa Shirikisho la Sok Barani Afrika, Issa Hayatou ameshindwa kutetea nafasi yake kufuatia kuzidiwa kura na mpinzani wake pekee, Ahmad Ahmad wa Madagascar.
Hayatou ameshindwa na Ahmad aliyekuwa akipigiwa chapuo na ukanda wa Afrika ya Kusini kwa kura 14. Mshindi Ahmad amepata kura 30 huku Hayatou akiambulia kura 20
Hayatou ameiongoza CAF kama Rais tangu mwaka 1988.