Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 3, 2017

Filamu ya Maisha ni Siasa yawekwa mtandaoni

Filamu ya Maisha ni Siasa ni sinema ya kitanzania inayoonyesha pilikapilika za wanasiasa katika chaguzi za Afrika. Imechezwa na Paul Mashauri, Loue Kifanya, Violet Mushi, Bahati Chando, Lilian Mwasha, Godwin Gondwe, Hudson Kamoga na wengine wengi. Imeandikwa na Paul Mashauri na Jacqueline Mgumia na kuandaliwa na Kileleni Productions kwa ushirikiano na Mashauri Studios na the 7th Elements.

No comments:

Post a Comment