Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, February 25, 2017

KICHUYA AILAZA YANGA MAPEMA







SHIZZA Kichuya jana alikuwa shujaa wa Simba  baada ya kuifungia bao la ushindi katika mechi ya Ligi  Kuu bara  dhidi ya Yanga iliyochezwa kwenye  uwanja waTaifa Dar es Salaam.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi hiyo ya raundi ya pili na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 54 juu ya mabingwa watetezi Yanga wenye pointi  49 lakini wakiwa na mchezo kibindoni.
Kichuya aliyeingia uwanjani katika dakika ya 51 kuchukua nafasi ya Novaty Lufunga alifungabaohilokwashuti kali njeya 18 nakuipatimuyakepointitatumuhimukatikambiozaubingwaambaohaujatuamtaawaMsimbazikwakwakaribumwakawannesasa.
MchezajihuyoanaifungamarayapiliYangamsimuhuu, maraya kwanza ilikuwakwenyemechiyaraundiya kwanza OktobaMosimwakajanaalipofungabao la kusawazishatimuhizozilipotokasareyabao 1-1.
Katikamechiyajana, Simbaililazimikakuchezapungufukaribukipindichote cha pilibaadayamwamuzi Mathew AkramawaMwanzakumtoanjekwakadinyekunduBeselaBukungualiyemtendeamadhambiObreyChirwaaliyekuwaakielekeakufungabao la piliwakatiYangaikiwambelekwabao 1-0.
Yangandioilikuwaya kwanza kupatabao la kuongozakatikadakikayatanoyamchezohuokwamkwajuwapenaltiiliyotolewanamwamuziAkramabaadayaLufungakumchezeavibayakwenyeeneo la hatariChirwa.
BaohiloliliichanganyaSimbaambayosasawachezaji wake walionekanakutotuliauwanjaninakatikadakikaya 26 benchi la ufundichiniyakocha wake Mkuu Joseph OmoglilifanyamabadilikokwakumtoaJumaLuizionanafasiyakekuchukuliwana Said Ndemla.
DakikatatubaadaeLauditMavugoanaikoseshaSimbabaoakiwakwenyenafasinzuriyakufungalakinianapigampirapembeni.
Simbailikuwananafasinyingineyakupatabao la kusawazishakatikadakikaya 35 baadayamwamauzikuwapampirawaadhabunjeya 18 lakiniNdemlaalipaishampirahuo.
Hatahivyopamojanakubakipungufukuanziadakikaya 55 kwakutolewaBukungu, Simbailiendeleakuimarikanakatikadakikaya 66, nyotayaMrundiMavugoiliendeleakung’arabaadayakufungabao la kusawazishakwakichwaakiunganishampirawaShizzaKichuya.
HiyonimechiyannemfululizokwaMavugokufungakatikamichuanoyotekwaSimbatangualipoanzakuchezadakika 90. Awalialikuwaakiingiadakikazamwishonimwakipindi cha pilinaalioenekanahanamchangowatimumpakabenchi la ufundililipoamuakufanyamabadilikonakumuanzishakwadakikazote.
AidhakatikamechihiyobaadayaSimbakuwambelekwamabao 2-1 baadhiyamashabikiwapandezotembiliwalizimiakwanyakatitofauti, mashabikiwaSimbawakizimiakwafurahanaYangakwamajonzi.
KablayamechikuanzawachezajiwatimuzotewalisimamakwadakikamojakumkumbukaaliyekuwamchezajiwaYanganaTaifa Stars Geofrey Bonny aliyefarikidunia wiki iliyopita.
Yanga: DeogratiusMunishi ‘Dida’, Kelvin Yondani, Juma Abdul, Vincent Andrew, HarunaNiyonzima, Amis Tambwe/ Deus Kasekedk 70, ObreyChirwa, ThabanKamusoko/JumaMakapudk 44, Justine Zullu/ JumaMahadhidk 78, Mwinyi Haji, Simon Msuva.
Simba: Daniel Agyei, Abdi Banda, Mohamed Hussein, BeselaBukungu, NovaltyLufunga/ ShizzaKichuyadk 51, James Kotei, Ibrahim Ajib, LauditMavugo, Mohamed Ibrahim/Jonas Mkudedk 57, MzamiruYassin, JumaLuizio/Said Ndemladk 26.

No comments:

Post a Comment