IMG_0047 IMG_0127
Kaimu Kocha wa Makipa, Juma Kaseja Juma akifuatilia mazoezi.
IMG_0097
Kocha wa makipa Juma Kaseja akiwanoa makipa
IMG_0130
Ibrahim Abdallah (kulia) akipiga hesabu za kumtoka Kibwana Ally (wa pili kulia).
IMG_0174 IMG_0080
Wachezaji hao wakipiga jaramba.
IMG_0065 IMG_0057 IMG_0069IMG_0047
IMG_0200Nyota wa timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada  Kikosi ya mazoezi kwenye viwanja vya mazoezi ya Uwanja wa FNB, Johannesburg Afrika Kusini. (Picha zote na Alfred Lucas wa TFF).