Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 23, 2016

MANCHESTER UNITED YAAMBULIA KIPIGO CHA 4-1 TOKA KWA BORUSSIA DORTMUNDBorussia Dortmund imeifunga Manchester United Bao 4-1 huko Shanghai, China kwenye Mechi ya Kirafiki.
Dortmund, ambao walianza Mazoezi yao kwa ajili ya Msimu mpya Wiki kadhaa nyuma na tayari wamecheza Mechi 5 za kujipima, Leo walionyesha dhahiri wako fiti dhidi ya Man United amvayo ilichelewa kuanza mazoezi na hii ni Mechi yao ya pili tu.
Dortmund walitangulia kufunga Bao Dakika ya 19 kwa frikiki ya Aubameyang iliyomshinda Kipa Sam Johnstone na Aubameyang tena akafunga tena Bao kwa Penati katika Dakika ya 36
.

Borussia Dortmund imeifunga Manchester United Bao 4-1 huko Shanghai, China kwenye Mechi ya Kirafiki.
Dortmund, ambao walianza Mazoezi yao kwa ajili ya Msimu mpya Wiki kadhaa nyuma na tayari wamecheza Mechi 5 za kujipima, Leo walionyesha dhahiri wako fiti dhidi ya Man United amvayo ilichelewa kuanza mazoezi na hii ni Mechi yao ya pili tu.
Dortmund walitangulia kufunga Bao Dakika ya 19 kwa frikiki ya Aubameyang iliyomshinda Kipa Sam Johnstone na Aubameyang tena akafunga tena Bao kwa Penati katika Dakika ya 36.