Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 18, 2016

KLABU BINGWA ULAYA DROO KUFANYIKA LEO

Klabu 8 toka Nchi 5 zitatumbukizwa kwenye Chungu kimoja kwenye Droo ya kupanga Mechi za Robo Fainali ya UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI, kwenye shughuli itakayofanyika huko Nyon, Uswisi leo
Droo hii iko wazi ikimaanisha Timu za Nchi moja zinaweza kukutanishwa na hivyo upo uwezekano wa, mathalani, Real Madrid na Barcelona kukutana.

Klabu zilizofuzu kuingia Robo Fainali:
-Atlético Madrid
-Bayern München
-Barcelona
-Benfica
-Manchester City
-Paris Saint-Germain
-Real Madrid
-Wolfsburg


Mechi za Robo Fainali zitachezwa Tarehe Aprili 5 na 6 na Marudiano ni Aprili 12 na 13.

No comments:

Post a Comment