Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 11, 2016

MARCO REUS NA PIERRE-EMERICK WAPELEKA KILIO KWA SPURS BAADA YA KUIFUNGIA BORUSSIA DORTMUND 3-0


Borussia Dortmund wanaongoza bao 2-0 bao zote mbili zikifungwa dakika ya 30 na dakika ya 61.
Bao la kwanza limefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 30.

 Bao la pili limefungwa na Marco Reus kipindi cha pili dakika ya 61.
Bao la tatu limefungwa na
Marco Reus tena dakika ya 70

Tottenham Hotspur bado hawajapata kitu mpaka sasa...0-0 KIPINDI CHA KWANZA...