Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao cha kamati ya utendaji ya UEFA iliyokutana katika makao makuu ya UEFA yaliyopo Nyon, Switzerland wakati kamati hiyo ilipokutana kwa ajili ya kujadili mambo ya msingi kwa ajili ya mashindano ya mwaka huu ya Euro ambayo yanatarjiwa kuanza mwezi Juni mwaka huu.
Pamoja na kuanza kutumia teknolojia hiyo katika mashindano ya Euro 2016 pia kamati hiyo ya utendaji imekubaliana kuanza kutumia teknolojia hiyo katika mashindano ya ligi ya Mabingwa Ulaya kuanzia msimu ujao wa 2016/2017.
Goal Technology
Goal tech
Frank-LampardFrank-Lampard