Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 22, 2015

ANTHONY MARTIAL AOKOA JAHAZI LA MAN UNITED, ASAWAZISHA BAO KWA SARE UGENINI MOSCOW KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Dakika ya 65 kipindi cha Pili Martial aliisawazishia bao Man United na kufanya 1-1 baada ya kupata mpira kutoka kwa Antonio Valencia.Anthony Martial akipongezwa na wenzake wana Man United baada ya kusawazisha bao na makosa yakeAsante Martial! akipongezwa na Smalling Zoran na Blind wakichuana vikaliMorgan kwenye patashikaDe Gea akiokoa moja ya shuti kali langoni mwakePongezi kwa DoumbiaSeydou DoumbiaUnited hoi! wako nyuma ya bao 1-01-0De Gea kwenye mshangao mara baada ya kufungwa baoHapa ndipo alipopangua mkwaju wa penatiHatari tupu!Martial katiMartial alinawa mpira mkono na refa kudai penati ipigwe kwa lango la Man United na Timu ya CSKA Moscow kujipatia bao hilo baada ya kipa De Gea kupangua na mchezaji Seydou Doumbia dakika ya 15 kumalizia mpira huo kwa kufanya 1-0 dhidi ya Man United.Kikosi cha Man United kilichoanzaWakati wa kupasha mapema kabla ya mechi
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI:
De Gea, Valencia, Smalling, Jones, Rojo, Schweinsteiger, Schneiderlin, Lingard, Herrera, Martial, Rooney
Man Utd akiba: S.Romero, Blind, Darmian, Carrick, Mata, Fellaini, Memphis
CSKA Moscow wanaonza XI: Akinfeev, Fernandes, Ignashevich, Vasili Berezutski, Schennikov, Wernbloom, Zoran Tosic, Dzagoev, Eremenko, Musa, Doumbia
CSKA akiba: Chepchugov, Aleksei Berezutski, Nababkin, Cauņa, Milanov, Golovin, Panchenko 


No comments:

Post a Comment