3-1 Fellaini akishangilia bao lake la dakika za nyongeza Old Trafford!Pongezi!Marouane
Fellaini alitokea Benchi dakika ya 84 akichukua nafasi ya Nahodha wa
Man United Wayne Rooney dakika ya 90 kwenye muda wa nyongeza aliipa Man
United bao la tatu na kufanya Man unitedkuibuka na Ushindi wa bao 3-1
leo kwenye mechi ya Kwanza ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya Makundi. Club
Brugge hawajawahi kushinda England katika Mechi zao 11, wakifungwa 9, na
tangu waifunge Chelsea 1-0 kwenye Robo Fainali ya UEFA CUP ya Msimu wa
1994/5 hawajashinda Mechi yeyote katika 6 walizocheza na Timu za
England.Depay akipongezwa baada ya kuipatia bao mbili Man United.
Dakika ya 79 Club Brugge wanapata pengo
baada ya mwenzao Mechele kucheza rafu tena na kuoneshwa kadi nyekundu na
kubaki 10 Uwanjani.Timu hizi zitarudiana Wiki ijayo Jumatano Agosti 26
huko Belgium na Mshindi kutinga hatua ya Makundi ya UEFA CHAMPIONS
LEAGUE.Depay akishangilia bao lake2-1Carrick alipoteza machungu ya kujifunga hapa!Mpaka nyavuni!Chicharito kauanza msimu mpya leo hii...alichukuwa nafasi ya Januzaj kipindi cha piliDakika
ya 43 Memphis Depay aliwapachikia tena bao la pili Man United na
kufanya bao kuwa 2-1 dhidi ya Club Brugge na mtanange kwenda mapumziko
United ikiwa mbele.Rooney akipambana Rooney tena"Rooney hatari kabisa!Wachezaji wawili wa Club Brugge wakipongezana baada ya kupata bao la zawadi dakika ya 8 kupitia kwa Carrick.Wachezaji wa Man United wakijiuliza baada ya kutanguliwa bao na wapinzani wao Club bruggeSalaam! 1-0Carrick alipojimaliza!Dakika ya 13 Depay anaisawazishia Man United baada ya kuwakaanga mabeki ndani ya 18 na kumfunga kipa wa Club Brugge Bruzzese.
Michael Carrick anajinga bao dakika ya 8
baada ya kupigwa mpira wa adhabu na kuutengua na kumwamisha kipa na
mpira kujaa kambani..Sir Alex Ferguson Ndani Old TraffordKikosi cha Man United kilichoanza dhidi ya Club BruggeDepay kacheza kwa kiwango cha juu na kuipa bao mbili Man United
DepayVIKOSI:
Manchester United XI: Romero, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Mata, Depay, Januzaj, Rooney
MUFC Akiba: Johnstone, Valencia, Schweinsteiger, Herrera, Fellaini, Young, Hernandez
MUFC Akiba: Johnstone, Valencia, Schweinsteiger, Herrera, Fellaini, Young, Hernandez
Club Brugge: Bruzzese, Cools, Mechele, Duarte, De Bock, Vormer, Simons, Vazquez, Dierckx, Diaby, Bolingoli
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Saa 3 Dakika 45 Usiku
Jumanne Agosti 18
1964 Astana 1 vs 0 APOEL Nicosia
BATE Borisov v Partizan Belgrade
Lazio v Bayer Leverkusen
Sporting CP v CSKA Moscow
Manchester United v Club Brugge
1964 Astana 1 vs 0 APOEL Nicosia
BATE Borisov v Partizan Belgrade
Lazio v Bayer Leverkusen
Sporting CP v CSKA Moscow
Manchester United v Club Brugge
No comments:
Post a Comment