Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 23, 2015

CHRISTIAN BENTEKE ATUA LIVERPOOL RASMI


Benteke ajiunga na Klabu ya Liverpool
Benteke mwenye asema sasa Makombe yaja Liverpool!

  Benteke akitoa dole kuonesha mambo kuwa safi kwake baada ya kujiunga na klabu Mpya ya Majogoo
Sasa kilichobaki ni kupigania namba kati ya  Daniel Sturridge, Danny Ings, Divock Origi, mpya  Firmino

Benteke pia amemshukuru Mmmiliki wa Klabu  Ian (Ayre)baada ya kuikacha Aston Villa na kujiunga na Liverpool.

No comments:

Post a Comment