Blaise Matuidi akishangilia bao lake la pili baada ya kufanya 3-2 dhidi ya Barca
Cavan akimpongeza Matuidi
Marco Verratti alipowachoma Barca bao la pili na kufanya 2-1
David Luiz wa PSG akishangilia bao lao la kwanza.
Hadi Mapumziko PSG ndio walikuwa mbele ya bao 2-1 dhidi ya Barcelona. kipindi cha pili dakika ya 54 Blaise Matuidi aliwapiga bao la tatu na kufanya 3-1. Barca waliongeza bidii na katika dakika ya 56 Neymar aliwapatia bao Barca kwa ushirikiano safi kutoka kwa Daniel Alves na kufanya 3-2.
David Luiz dakika ya 10 kipindi cha kwanza anaipachikia bao baada ya kupata mpira kutoka kwa Lucas.
Nao Barcelona wanafanya juhudi binafsi na haraka katika dakika ya 11 Lionel Messi anaisawazishia bao kwa kufanya 1-1 baada ya kutokea ushirikiano safi kutoka kwa Iniesta Luján. Dakika ya 26 PSG walipachika bao tena, Bao la kichwa la Marco Verratti baada ya kupigwa kona na Thiago Motta.
Paris St-Germain watatinga Mechi hii ya Nyumbani kwao ya Kundi F dhidi ya FC Barcelona bila ya Straika wao mahiri Zlatan Ibrahimovic ambae ameumia kifundo cha Mguu.
Katika Mechi za kwanza za Kundi lao, PSG ilitoka Sare na Ajax na Barcelona kuichapa Apoel Nicosia Bao 1-0.

David Beckham akiteta jambo na Jay Z huku Beyonce nae akiwa karibu yao wakati wa mechi kati ya PSG na Barcelona leo usiku.

Fabio Cannavaro na Meneja wa Ufaransa Didier Deschamps nao walikuwemo Uwanjani kutazama mpira huo

David Beckham

Patrick Kluivert nae alikuwemo ndani ya Uwanja.

RATIBA/MATOKE
Jumanne Septemba 30
KUNDI E
CSKA Moscow 0 vs 1 Bayern Munich
Manchester City 1 vs 1 Roma
KUNDI F
APOEL Nicosia 1 vs 1 Ajax
Paris St-Germain 3 vs 2 Barcelona
KUNDI G
FC Schalke 04 1 vs 1 NK Maribor
Sporting Lisbon 0 vs 1 Chelsea
KUNDI H
BATE Borisovs 2 vs 1 Athletic Bilbao
Shakhtar Donetsk 2 vs 2 FC Porto

Nao Barcelona wanafanya juhudi binafsi na haraka katika dakika ya 11 Lionel Messi anaisawazishia bao kwa kufanya 1-1 baada ya kutokea ushirikiano safi kutoka kwa Iniesta Luján. Dakika ya 26 PSG walipachika bao tena, Bao la kichwa la Marco Verratti baada ya kupigwa kona na Thiago Motta.

Katika Mechi za kwanza za Kundi lao, PSG ilitoka Sare na Ajax na Barcelona kuichapa Apoel Nicosia Bao 1-0.

David Beckham akiteta jambo na Jay Z huku Beyonce nae akiwa karibu yao wakati wa mechi kati ya PSG na Barcelona leo usiku.

Fabio Cannavaro na Meneja wa Ufaransa Didier Deschamps nao walikuwemo Uwanjani kutazama mpira huo

David Beckham

Patrick Kluivert nae alikuwemo ndani ya Uwanja.

RATIBA/MATOKE
Jumanne Septemba 30
KUNDI E
CSKA Moscow 0 vs 1 Bayern Munich
Manchester City 1 vs 1 Roma
KUNDI F
APOEL Nicosia 1 vs 1 Ajax
Paris St-Germain 3 vs 2 Barcelona
KUNDI G
FC Schalke 04 1 vs 1 NK Maribor
Sporting Lisbon 0 vs 1 Chelsea
KUNDI H
BATE Borisovs 2 vs 1 Athletic Bilbao
Shakhtar Donetsk 2 vs 2 FC Porto
No comments:
Post a Comment