NEMANJA MATIC AITAKATISHABLUES UGENINI BAADA YA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA SPORTING LISBON KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Nemanja Matic ndiye aliyewapa Ushindi Chelsea Usiku huu wa bao 1-0 dhidi ya Sporting Lisbon. Ushindi huu pia umewapaisha hadi kileleni kwenye kundi lao Chelsea wakiwa na pointi 4.Dakika ya 34 kipindi cha kwanza Nemanja Matić anaipachikia bao la kwanza Chelsea baada ya kupata mpira kutoka kwa Cesc Fàbregas.Meneja Jose akiwa na Nemanja
No comments:
Post a Comment