Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 18, 2014

CHELSEA YATOKA SARE NA SCHALKE 04 UEFA CHAMPIONS LEAGUE,KLAAS JAN HUNTELAAR AISAWAZISHIA BAO SCHALKE

Schalke 04 wakipongezana baada ya kusawazisha bao na kuweka 1-1 bao lililofungwa na Klaas Jan Huntelaar.Klaas Jan Huntelaar akifanya yake kusawazisha baoWachezaji wa Chelsea wakiwa hoi baada ya Schalke 04 kusawazisha bao kupitia kwa Klaas Jan Huntelaar katika kipindi cha pili dakika ya 62. Cesc Fàbregas akiachia shuti kali na kufunga1-0Dakika ya 11 Cesc Fàbregas anaipachikia bao la kwanza Chelsea dhidi ya Schalke 04. Bao hilo lilipatikana baada ya ushirikiano safi kutoka kwa Eden Hazard.Cesc Fàbregas akishangilia baoDrogba akiruka juu kwenye eneo hatari la box Eden Hazard akiendesha...Mzoefu ...Drogba nae jana alikuwemo.

No comments:

Post a Comment