Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 18, 2014

BAYERN MUNICH YAIFUNGA MANCHESTER CITY 1-0 UEFA CHAMPIONS LEAGUE, JEROME BOATENG AIOKOA CITY KATIKA DAKIKA ZA MAJERUHI

Mchezaji Jerome Boateng katika dakika ya majeruhi dakika 89 aliwatungua City bao na kuwapatia Ushindi Bayern Munich wa bao 1-0 dhidi ya Manchester City.Jerome Boateng akishangilia bao lake la dakika za mwishoni..Baada ya kuinyonga City, Boateng akishangilia bao lake..1-0 Boateng anaandika bao kwenye dakika za majeruhiClichy na wenzake wakilinda..Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0 licha timu zote mbili kushambuliana, Bayern waliliandama lango la City tangu dakika za mwazo lakini walikoza umakini katika ufungaji. Kipa wa City Joe Hart akijilinda dhidi ya adui..
chupuchupu..Robert akipanguana na SagnaDavid Silva akifanya yake..Manuel Neuer wa Bayern Munich..
Kipa wa Man City Joe hart akipasha..MAKUNDI
RATIBA
Jumatano Septemba 17

KUNDI E
Bayern Munich vs Man City
AS Roma vs CSKA Moscow

KUNDI F
Ajax VS Paris St-Germain
Barcelona v/s APOEL Nicosia

KUNDI G
Chelsea vs FC Schalke 04
NK Maribor VS Sporting Lisbon

KUNDI H
Athletic Bilbao VS Shakhtar Donetsk
FC Porto VS BATE Borisovs

No comments:

Post a Comment