James Rodriguez akifanyiwa vipimo mapema asubuhi ya leo Madrid akitarajiwa kutangazwa rasmi usiku huu
|
mshambuliaji
huyo wa kimataifa wa Colombia amekubali kuingia mkataba w miaka sita na
Madrid na hii leo amefanyiwa vipimo vya afya na akitarajiwa kuwekwa
wazi mbele ya wana habari usiku huu.
Hata
hivyo klabu hiyo haikuweka wazi ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo
lakini taarifa zinasema kuwa huenda akawa amesajili kwa pauni £60 akiwa
ni mchezaji nambari nne mwenye thamani ya juu zaidi baada ya Gareth
Bale, Cristiano
Ronaldo na Luis Suarez.
Rodriguez akiwasili Madrid
|
No comments:
Post a Comment