Usajili wa Chelsea wa kiangazi kutoka kushoto Diego Costa, Cesc Fabregas na Filipe Luis in Austria |
Chelsea
imefanya usajili wa kufa mtu msimu huu wa uhamisho wa kiangazi
wakichukua vifaa vya kutoka ligi kubwa barani Ulaya La Liga akiwemo,
Diego
Costa na Filipe Luis wakitokea Atletico Madrid na kiungo Cesc Fabregas
kutoka Barcelona na sasa klabu hiyo imeanza maandalizi ya kueleka kwenye
msimu mpya huko Austria.
Ongezeko
la wakali hao watatu umeigharimu klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £80
na kuungana na wakali wengine 26 huko Waldarena.
DiegoCosta (katikati) akikabiliana na Marco van Ginkel na Fabregas
No comments:
Post a Comment