Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 12, 2013

BONDIA THOMAS MASHALI AMTWANGA BENARD MCOCIECH WA KENYA KWA KO FRIENDS CORNER MANZESE LEO


Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Charles Kenyella  akimvalisha mkanda bondia  Thomas Mashali baada ya kumtwanga kwa KO raundi ya 5 bondia Benard Mcociech wa Kenya kwenye pambano la raundi 10 la kugombea mkanda wa Afrika Mashariki na Kati lililofanyika kwenye ukumbi wa Friends Corner Manzese

Mwamuzi akimwesabia Benard Mcociech  baada ya kuanguka mara ya tatu na kukubali yaishe na Thomas Mashali kutangazwa bingwa




Thomas Mashali akikwepa ngumi

Benard Mcociech akiwa chini baada ya kupokea makonde mazito toka kwa Thomas Mashali

Mwanamuziki Profesa J akiwaonesha wadau wa ngumi kitu kwenye simu yake kabla mpambano kuanza

Kamanda Charles Kenyella akiwa amewashika mikono mabondia wote baada ya kumvalisha mkanda bingwa.
Thomas Mashali akimrushia ngumi ya uso bondia Benard Mcociech

No comments:

Post a Comment