Rodriguez akiwa katika jezi ya Madrid na viatu vya rangi za buluu na pinki wakati wa utambulisho wake Bernabeu.
Rodriguez anakuwa mchezaji nambari nne kwa thamani ya juu duniani nyuma
ya akina Garreth Bale, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez kufuatia
kukamilisha uhamisho wa ada pauni milioni £60 akitokea Monaco
Rodriguez akiwapa hi umati wakati akiwasili kwa ajili ya utambulisho wake Bernebau
Rais wa Real Madrid Florentino Perez (kushoto) akimtambulisha Rodriguez (kulia) kiungani Bernabeu
Rodriguez kionyesha mapenzi mapya kwa kubusu jezi ya Real Madrid wakati wa utambulisho wakeBernabeu
No comments:
Post a Comment