Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, April 9, 2014

KMKM WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU ZANZIBAR


Meneja masoko wa kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttala akikabidhi kombe la Ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar kwa Viongozi na wachezaji wa timu ya KMKM kulia kwake ni mwenyekiti wa bararaza la michezo Zanzibar Ndugu Hamis Said, na wengine ni Rais wa ZFA Radhia Saina na makamu wa rais ZFA Pemba Ally Mohamed. Mchezo huo ulifanyika katika kiwanja cha Amani Mjini Unguja

Baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu ya Km Km wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mjini Zanzibar kwa kuwa mabingwa wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment