Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, January 7, 2014

MANCHESTER UNITED ILIVYOFUNGWA NA SUNDERLAND 2-1 KWENYE NUSU FAINALI YA KOMBE LA CAPITAL ONE JANA

Giggs akijifunga bao na kuwapa Zawadi Sunderland kwa kuonngoza bao 1-0 katika kipindi cha kwanza mwishoni.Dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza 45+2 Giggs anafanya makosa anajifunga bao, Sunderland wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Manchester United. Kipindi cha pili dakika ya 52 Nemanja Vidic anawasawazishia bao United kwa kufanya 1-1 baada ya kona kupigwa na Vidic kujituma kwa kufunga bao la kichwa. Dakika ya 65 United wanafungwa goli la pili kwa mkwaju wa penati wa utata na kufanya bao kuwa 2-1. mfungaji wa penati hiyo akiwa ni Fabio Borini. Ushindi huu wa Sunderland unawaweka pazuri wakija kurudiana huko Old Trafford mwezi huu  januari siku ya jumatano tarehe 22.

Up high: Nemanja Vidic powers his header past Vito Mannone to bring his side level
Nemanja Vidic akisawazisha bao na kufanya 1-1 hapaNemanja Vidic akishangilia bao lakeJonny Evans kwenye patashika kuusaka mpiraRafael akienda chini baada ya patashika na Fabio BoriniSteven Fletcher alishindwa kumbana
Kocha wa Manchester United David Moyes akiwa amesimama kidete kuwaangalia vijana wake wakichuana na Timu ya Sunderland kwenye uwanja wa Stadium of Light usiku huu kwenye nusu fainali ya Capital One Cup.Bosi wa Sunderland Gus Poyet akipaisha sauti zake!David Moyes na Gus Poyet Patashika! Mchezaji wa Sunderland Phil Bardsley kwenye patashika na mchezaji wa United Adnan Januzaj, katika kipindi cha kwanza. Subdued: Bryan Robson, Alex Ferguson and Bobby Charlton watch on in front of Anderson
Bryan Robson, Alex Ferguson na Bobby Charlton wakiuangalia mchezo Sunderland v United
Nje ya Box? Tom Cleverley imedaiwa kumfanyia ndivyo sivyo Adam Johnso!
Taswira ya Fabio Borini mkwaju alivyoupiga na kumpelekesha kipa wa United David De Gea.Fabio Borini akichonga penati...............Mchezaji wa Sunderland Borini akishangilia baada ya kuipachikia bao timu yake kwa mkwaju wa penati.Wakipongezana baada ya bao la dakika ya 64 na la mwisho!Moyes ndio usiseme!!! majanga matupu!Wachezaji wa United Wakiulizana neno ....kunani!!!!Mapema makocha wote wawili walisalimiana kwa furaha!
VIKOSI:
Sunderland: Mannone, Bardsley, O'Shea, Brown, Alonso, Larsson, Cattermole, Ki, Borini, Fletcher (Altidore 72), Giaccherini (Johnson 56).
Subs: Gardner, Celustka, Colback, Ji, Dixon.

Booked: Bardsley, Giaccherini, Altidore.
Goal: Giggs, 45+2og, Borini 65pen
Man United: De Gea, Rafael Da Silva, Vidic, Evans (Smalling 61), Evra, Carrick, Cleverley (Fletcher 75), Valencia (Hernandez 87), Giggs, Januzaj, Welbeck.
Subs: Lindegaard, Kagawa, Buttner, Zaha.

Booked: Evra, Rafael, Smalling.
Goal: Vidic 52.
Referee: Andre Marriner 


CAPITAL ONE CUP 
NUSU FAINALI
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 7 

Sunderland 2 v Manchester United 1
Jumatano Januari 8 
Manchester City v West Ham United
Marudiano
Jumanne Januari 21 

West Ham United v Manchester City
Jumatano Januari 22 
Manchester United v Sunderland

No comments:

Post a Comment