



Manchester United, kwa mara nyingine tena ilikiona cha mtema kuni pale ilipobanduliwa nje ya kinyanganyiro cha kuwania kombe la Ligi maarufu kama Capital one na timu inayoshikilia nafasi ya pili kutoka mkia kwenye msururu wa ligi kuu ya Premier, Sunderland.
United ililazimika kuyaaga mashindano hayo baada ya kushindwa kupitia mikwaju ya penalti na Sunderland.

Baada ya muda wa kawaidia United ilikuwa ikiongoza kwa goli moja kwa bila, lakini kuwa walipoteza mechi ya awamu ya kwanza kwa magoli mawili kwa moja, mechi hiyo ilibidi kuongezwa dakika thelathini zaidi za ziada.

Katika muda huo wa ziada Sunderland nusura ifuzu moja kwa moja lakini sherehe hizo zilikatizwa baada ya dakika moja pale United iliposawazisha kupitia kwa nyota wake Chicharito, na hivyo kufanya timu hizo mbili kutoshana nguvu ya jumla ya magoli matatu kwa matatu bada ya dakika mia moja na Ishirini.
Mechi hiyo iliamuliwa kupitia mikwaju ya penalti na kwa mara ya kwanza, makipa wa timu hizo mbili waliokoa mikwaju kadhaa.
Kwa Ujumla mikwaju saba ziliokolewa au kupigwa nje na hivyo Sunderland kujikatia tikiti ya fainali dhidi ya Manchester City kwa magoli mawili kwa Moja.
Fainali ya kombe hilo itachezwa tarehe mbili Machi mwaka huu katika uwanja wa Wembley.
Dakika ya 37 kipindi cha kwanza Evans aliipatia United bao la kichwa baada ya kupigwa kona na Januzaj hatimae Danny Welbeck kugawa pasi na pasi hiyo kumkuta John Evans na hatimae kuujaza mpira huo kwa kichwa langoni mwa Sunderland. Kipindi cha kwanza kilimalizika United wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Sunderland.



Mapema wachezaji wa United wakimpongeza Evans baada ya kuifungia bao

VIKOSI:
Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva, Smalling, Evans, Buttner, Fletcher, Carrick, Januzaj, Kagawa, Welbeck, Hernandez.
Subs: Evra, Jones, Giggs, Lindegaard, Young, Cleverley, Valencia.
Goals: Evans 37, Hernandez 120+1
Sunderland: Mannone, Bardsley, Brown, O'Shea, Alonso, Ki, Cattermole, Colback, Johnson, Fletcher, Borini.
Subs: Ustari, Vergini, Larsson, Gardner, Celustka, Altidore, Giaccherini.
Goals: Bardsley 119
Referee: Lee Mason
Subs: Evra, Jones, Giggs, Lindegaard, Young, Cleverley, Valencia.
Goals: Evans 37, Hernandez 120+1
Sunderland: Mannone, Bardsley, Brown, O'Shea, Alonso, Ki, Cattermole, Colback, Johnson, Fletcher, Borini.
Subs: Ustari, Vergini, Larsson, Gardner, Celustka, Altidore, Giaccherini.
Goals: Bardsley 119
Referee: Lee Mason

Pen SO Miss Rafael

Rafael steps up and must score... BUT HIS PENALTY IS SAVED! Sunderland are going to Wembley!

These penalties have been terrible! Johnson is the latest to miss as De Gea saves well!

United miss again! This time Jones blazes over the crossbar!

The South Korean scores to give Sunderland the lead!

Ki now for Sunderland.

Januzaj misses for Manchester United! Mannone saves with ease!

Marcos Alonso steps up and slots his kick to De Gea's left! They're off the mark.

Darren Fletcher now... He scores! We have our first conversion!

Here comes Steven Fletcher... De Gea saves down to his right!

Welbeck misses as well!

Gardner fires over the crossbar! Advantage Man United!

Here comes Craig Gardner...

120′ +9
Pen SO Miss Adam Johnson

120′ +8
Pen SO Miss Phil Jones

120′ +7
Pen SO Goal Sung-Yong Ki

120′ +6
Pen SO Miss Adnan Januzaj

120′ +5
Pen SO Goal Marcos Alonso

120′ +4
Pen SO Goal Darren Fletcher

120′ +3
Pen SO Miss Steven Fletcher

120′ +3
FULL-TIME! There goes the full-time whistle. United win 2-1 on
the night, but this is still not over. With the score level at 3-3 on
aggregate, penalties await!

120′ +2
Pen SO Miss Danny Welbeck

120′ +1
Pen SO Miss Craig Gardner
No comments:
Post a Comment