Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 11, 2014

KUCHEZA FAINALI NA KCC BAADA YA KUIFUNGA URA 2-1

Hongera rasta; Wachezaji wa Simba wakimpongeza mwenzao, Amri Kiemba kushoto baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya URA ya Uganda katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba rahaa
Amri Kiemba akipambana na mabeki wa URA
Ramadhani Singano ''Messi' akifanya yake dhidi ya beki wa URA
Messi ni balaa
Beki wa Simba, Haruna Shamte akimdhibiti mshambuliaji wa URA
Beki wa URA akimdhibiti msambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe
Mfungaji wao bao la kwanza la Simba SC, Joseph Owino akiondoka na mpira
Awadh Juma wa Simba SC akipasua katikati ya wachezaji wa URA
Kiungo wa URA Milos Ilic akimtoka mchezaji wa Simba SC, Haroun Chanongo
Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba akigombea mpira na mchezaji wa URA
Katikati ni Amri Kiemba akiwa amesujudu baada ya kufunga bao la pili
Shabiki maarufu wa Simba SC, Abdulfatah Salim Saleh, mmiliki wa hoteli a Sapphire Court mjini Dar es Salaam kulia alikuwepo
Kikosi cha Simba SC leo
Makocha wa Simba SC kulia na wakisalimiana na makocha wa URA kabla ya mechi, Simba SC itamenyana na KCC ya Uganda pia katika fainali keshokutwa baada ya timu zote za Tanzania zilizoshiriki mashindano hayo kutolewa.         

No comments:

Post a Comment