Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, December 16, 2013

MANCHESTER UNITED YAIFUNGA ASTON VILLA 3-0 KWENYE MCHEZO WA ENGLISH PRIEMIER LEAGUE

Dakika ya 15 Welbeck anaipachikia bao United, Dakika ya 18 Welbeck anawaongezea tena bao na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Aston Villa. Mpaka dakika za mapumziko United ndio walikuwa wanaongoza kwa bao 2-0.
Dakika ya 52 kipindi cha pili Tom Cleverley anaipatia bao la tatu Manchester United baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Wayne Rooney. Ushindi huu wa United unawapandisha juu hadi nafasi ya 8 wakiwa na pointi 25 kwenye msimamo wa ligi kuu. Wao Aston Villa wamebaki pale pale wakiwa na Alama zao 19.Patashika kwenye lango la Aston Villa Danny Welbeck akimalizia krosi ya Antonio Valencia na kuipa  Manchester United bao la 2-0 dhidi ya Aston Villa kwenye uwanja wao wa Villa Park.Danny Welbeck akipongezwa na Adnan Januzaj pamoja na Wayne Rooney baada ya kuipa bao la pili katika dakika ya 18 kipindi cha kwanza.

RATIBA  
Jumapili Desemba 15  
Aston Villa 0 v Man United 3
Norwich 1 v Swansea 1
19:00 Tottenham v Liverpool


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI MBILI ZA LEO KUISHA. USIKU SAA 1:00 NI SPURS v LIVERPOOL
2013-2014 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPTS
1 Arsenal 16 11 2 3 33 17
6 1 1 16 6
5 1 2 17 11
16 35
2 Chelsea 16 10 3 3 32 18
7 1 0 19 7
3 2 3 13 11
14 33
3 Manchester City 16 10 2 4 47 18
8 0 0 35 5
2 2 4 12 13
29 32
4 Everton 16 8 7 1 27 15
5 3 0 17 7
3 4 1 10 8
12 31
5 Liverpool 15 9 3 3 34 18
7 0 1 22 5
2 3 2 12 13
16 30
6 Newcastle United 16 8 3 5 21 22
4 3 1 12 8
4 0 4 9 14
-1 27
7 Tottenham Hotspur 15 8 3 4 15 16
3 2 2 7 7
5 1 2 8 9
-1 27
8 Manchester United 16 7 4 5 25 19
3 2 3 8 7
4 2 2 17 12
6 25
9 Southampton 16 6 6 4 20 15
4 3 1 14 6
2 3 3 6 9
5 24
10 Swansea City 16 5 5 6 22 21
2 4 2 15 12
3 1 4 7 9
1 20
11 Aston Villa 16 5 4 7 16 21
2 1 5 6 12
3 3 2 10 9
-5 19
12 Hull City 16 5 4 7 13 19
4 3 1 7 3
1 1 6 6 16
-6 19
13 Stoke City 16 4 6 6 15 20
3 4 1 8 5
1 2 5 7 15
-5 18
14 Norwich City 16 5 3 8 15 29
3 3 2 9 8
2 0 6 6 21
-14 18
15 Cardiff City 16 4 5 7 12 22
3 2 3 8 10
1 3 4 4 12
-10 17
16 West Bromwich Albion 16 3 6 7 17 22
2 2 4 10 11
1 4 3 7 11
-5 15
17 West Ham United 16 3 5 8 13 19
2 2 4 8 10
1 3 4 5 9
-6 14
18 Crystal Palace 16 4 1 11 11 24
3 1 4 7 10
1 0 7 4 14
-13 13
19 Fulham 16 4 1 11 15 30
2 1 5 9 13
2 0 6 6 17
-15 13
20 Sunderland 16 2 3 11 12 30
2 0 6 10 16
0 3 5 2 14
-18 9

No comments:

Post a Comment