Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, December 16, 2013

LIVERPOOL ILIVYOICHAKAZA SPURS 5-0 KWAO WHITE HART LANE NA KUKAMATA NAFASI YA 2


Luis Suarez, leo ameifungia timu yake Liverpool Bao 2 walipoibonda Tottenham waliokuwa kwao White Hart Lane Bao 5-0 na kukamata nafasi ya Pili ya Ligi Kuu England wakiwa Pointi 2 tu nyuma ya Vinara Arsenal.Wakiwa Bao 2 nyuma, Kiungo wa Tottenham, Paulinho, alipewa Kadi Nyekundu kwa kuinua Mguu juu uliompiga Suarez kifuani na hali hiyo ilitoa mwanya kwa Liverpool kufunga Bao nyingine 3.
Bao za Liverpool zilifungwa na Suarez, Dakika ya 18 na 84, Henderson, Dakika ya 40, Flanagan, Dakika ya 75 na Raheem Sterling, Dakika ya 89. 

Ushindi huu umewafanya Liverpool wawe na Pointi 33, sawa na Chelsea, lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli wakati Arsenal wako kileleni wakiwa na Pointi 35 huku Timu zote zikiwa zimecheza Mechi 16. 

Tottenham, ambao walifanya usajili wa gharama kubwa mno unaofanana na Man City, sasa wapo Nafasi ya 7 na wamekuwa wakipata matokeo yasiyoridhisha hali ambayo inazidisha presha kwa Meneja wao Andre Villas-Boas.
Patashika za Suarez
In charge: Jordan Henderson falls to his knees after scoring the second
Jordan Henderson akishangilia baada ya kufunga bao lake ugenini kwenye uwanja wa wa White Hart Lane
Trashed: Kyle Walker puts his shirt over his head as Tottenham fall to an embarrassing defeat
Kyle Walker akijificha uso baada ya timu yao kunyukwa mabaoUnexpected: The Liverpool players jump on third goalscorer Jon Flanagan
Wachezaji wa Liverpool wakipongezana na kumpongeza Jon Flanagan baada ya kuwafungia bao safiMarching orders: Referee Jon Moss sends off Paulinho after he left Suarez rolling on the ground
Mwamuzi Jon Moss akimtoa kwa kadi nyekundu Paulinho baada ya kumkanyaga Suarez
Incredulity: The Brazilian couldn't believe the decision from referee Moss
Mwamuzi Jon Moss hakufanya makosa...haraka alimtoa Brazil huyo nje kwa rafu mbaya
Red card: Paulinho's challenge that saw him be sent from the pitch
Paulinho na rafu zake kifuani kwa Suarez
Deft touch: Suarez scored his second and Liverpool's fourth with five minutes left
Suarez akifurahia moja ya bao zake
VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Walker, Capoue, Dawson, Naughton (Fryers 45), Sandro (Holtby 30), Dembele (Townsend 61), Lennon, Paulinho, Chadli, Soldado.
Subs: Lamela, Defoe, Sigurdsson, Friedel.
Yellow: Walker, Dawson, Holtby
Red: Paulinho
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Sakho, Flanagan, Lucas (Luis Alberto 79), Allen, Henderson, Coutinho (Moses 90), Sterling, Suarez.
Subs: Brad Jones, Toure, Agger, Alberto, Aspas, Kelly.
Goals: Suarez 18, Henderson 40, Flanagan 75, Suarez 84, Sterling 89
Referee: Jon Moss (W Yorkshire)
Attendance: 36,069


MSIMAMO WA TIMU 10 ZA JUU ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI ZA LEO 
2013-2014 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 16 11 2 3 33 17
6 1 1 16 6
5 1 2 17 11
16 35
2 Liverpool 16 10 3 3 39 18
7 0 1 22 5
3 3 2 17 13
21 33
3 Chelsea 16 10 3 3 32 18
7 1 0 19 7
3 2 3 13 11
14 33
4 Manchester City 16 10 2 4 47 18
8 0 0 35 5
2 2 4 12 13
29 32
5 Everton 16 8 7 1 27 15
5 3 0 17 7
3 4 1 10 8
12 31
6 Newcastle United 16 8 3 5 21 22
4 3 1 12 8
4 0 4 9 14
-1 27
7 Tottenham Hotspur 16 8 3 5 15 21
3 2 3 7 12
5 1 2 8 9
-6 27
8 Manchester United 16 7 4 5 25 19
3 2 3 8 7
4 2 2 17 12
6 25
9 Southampton 16 6 6 4 20 15
4 3 1 14 6
2 3 3 6 9
5 24
10 Swansea City 16 5 5 6 22 21
2 4 2 15 12
3 1 4 7 9
1 20
 

No comments:

Post a Comment