Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 9, 2013

REFA MICHAEL OLIVER KUCHEZESHA MANCHESTER UNITED vs ARSENAL KESHO. GUNNERS WAJIPANGA KUONDOA UTEJA NA KUJIKITA ZAIDI KILELENI


Michael Oliver kuchezesha mtanange wa kesho jumapili kati ya Manchester United v Arsenal

Enzi hizo ....Key men: Manchester United boss David Moyes turned down the chance to bid for Mesut Ozil (left) but did attempt to sign Aaron Ramsey (right) for Everton in 2008
Mesut Ozil na Aaron Ramseywanatarajia kuleta janga moto kesho jumapili.
Wakati wa mazoezi
Tough place to go: Arsenal boss Arsene Wenger (left) had a poor record against former United boss Sir Alex Ferguson (right) at Old TraffordArsenal Arsene Wenger amesema Mechi yao ya Jumapili huko Old Trafford na Manchester United ‘itashangaza’ kwa kutokuwepo Sir Alex Ferguson.
Ferguson na Wenger ndio walikuwa Mameneja waliotumikia Ligi Kuu England kwa muda mrefu kabla Sir Alex Ferguson hajaamua kustaafu Mwezi Mei.

Arsenal, ambayo ndio inaongoza Ligi, inaweza kuwa Pointi 11 mbele ya Man United ikiwa itashinda Mechi hiyo lakini Wenger amesema ni mapema mno kuanza kumpima mrithi wa Ferguson, David Moyes alietokea Everton.

Wenger amesema: “Ni ajabu bila Ferguson kuwepo Siku ya Jumapili. David Moyes ameonyesha kazi nzuri huko Everton na inabidi umwachie ajijenge na Man United na sasa polepole anafa hivyo. Utaona matokeo yake ya sasa! Ikitokea Mtu kakaa sehemu Miaka 26 na kuondoka, inachukua muda kwa Mtu mpya. Ni ngumu na hatari kwa Meneja mpya. Kwangu mimi, Moyes anafanya kazi nzuri.” Wenger na Ferguson walikuwa na upinzani mkubwa na upo wakati, Mwaka 2005, waliombwa kumaliza uhasama wao na Polisi.

Hilo lilitokea mara baada ya Man United kuifunga Arsenal Bao 2-0 Uwanjani Old Trafford na kumaliza mbio za Arsenal za kutofungwa katika Mechi 49 za Ligi kisha Wachezaji wa Arsenal wakaripotiwa kumrushia Ferguson Pizza.
Arsenal hawajaifunga Man United Uwanjani Old Trafford tangu Mwaka 2006 na wamekuwa wakifungwa katika kila Mechi ya Mechi zao 5 zilizopita ikiwemo kisago cha Bao 8-2 Agosti 2011.
No regrets: Moyes did not see a space for Ozil in his United squad this season
Mechi 10 zimeshachezwa kwenye Ligi na Arsenal bado wanachanja mbuga wakiwa hawajafungwa tangu wabamizwe 3-1 na Aston Villa kwenye Mechi ya kwanza ya Ligi Msimu huu.
Wikiendi iliyopita, Arsenal, wakiwa Nyumbani Emirates, ndio walipata Mechi ngumu kwao kwenye Ligi Msimu huu walipoifunga Liverpool 2-0 kwa Bao za Santi Cazorla na Aaron Ramsey ambae Msimu huu anang’ara sana. 

Safari hii, Arsenal wanatinga Old Trafford Uwanja ambao hawajashinda tangu Mwaka 2006 na Miaka miwili iliyopita walitwangwa Bao 8-2 na Mabingwa wa England Manchester United.
VIKOSI VINATARAJIA KUWA HIVI:
Starting line-up (
4-2-3-1)
D. De Gea
Rafael
J. Evans
N. Vidic
P. Evra
M. Carrick
M. Fellaini
A. Valencia
W. Rooney
A. Januzaj
R. van Persie

Starting line-up(
4-2-3-1)
W. Szczesny
B. Sagna
L. Koscielny
P. Mertesacker
K. Gibbs
M. Arteta
M. Flamini
A. Ramsey
M. Özil
S. Cazorla
O. Giroud

No comments:

Post a Comment