Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 19, 2013

RATIBA YA MECHI ZA MAKUNDI EUROPA LEAGUE 2013-14: LEO ALHAMISI SEP.19

LEO ALHAMISI Usiku Septemba 19, EUROPA LEAGUE inaanza Mechi zake za Makundi ambapo zipo Jumla ya Timu 48 zilizopangwa katika Makundi 12 ya Timu 4 kila moja yatakayocheza Mechi kwa mtindo wa Ligi za Nyumbani na Ugenini.

MAKUNDI:
KUNDI A: Valencia, Swansea City, Kuban, St Gallen
KUNDI B: PSV, Dinamo Zagreb, Odesa, Ludogorets 
KUNDI C: Standard Liege, Salzburg, Elfsborg, Esbjerg
KUNDI D: Rubin, Wigan Athletic, Maribor, Zulte Waregem 
KUNDI E: Fiorentina, Dnipro, Pacos Ferreira, Pandurii 
KUNDI F: Bordeaux, APOEL, Eintracht Frankfurt, Maccabi Tel-Aviv
KUNDI G: Dynamo Kiev, Genk, Rapid Wien, Thun 
KUNDI H: Sevilla, Freiburg, Estoril, Liberec
KUNDI I: Lyon, Betis, Guimaraes, Rijeka
KUNDI J: Lazio, Trabzonspor, Legia, Apollono
KUNDI K: Tottenham, Anji, Sheriff, Tromso 
KUNDI L: AZ Alkmaar, PAOK, Maccabi Haifa, Shakhter Karagandy
Timu za Uingereza kwenye Mashindano haya ni Swansea City, Mabingwa wa Capital One Cup, Wigan Athletics, waliotwaa FA CUP, na Tottenham waliomaliza Ligi Kuu England Nafasi ya 5.
Katika Mechi zao za kwanza, Swansea na Wigan watakuwa Ugenini kwa Swansea kuwa huko Spain kucheza na Valencia na Wigan kuwa huko Belgium kucheza na SV Zulte Waregem.
Tottenham wako Nyumbani kucheza na Tromso ya Norway.
EUROPA LIGI
RATIBA
Alhamisi Septemba 19
[Saa za Bongo]
20:00
PSV Eindhoven - Netherlands
v
Ludogorets Razgrad - Bulgaria
20:00
Valencia - Spain
V
Swansea City AFC - Wales
20:00
NK Maribor - Slovenia
V
FC Rubin Kazan - Russia
20:00
NK Dinamo Zagreb - Croatia
V
Chernomorets Odessa - Ukraine
20:00
Eintracht Frankfurt - Germany
V
FC Girondins de Bordeaux - France
20:00
Maccabi Tel-Aviv FC - Israel
V
Apoel Nicosia - Cyprus
20:00
Red Bull Salzburg - Austria
V
Elfsborg - Sweden
20:00
Fiorentina - Italy
V
Pacos Ferreira - Portugal
20:00
Standard de Liege - Belgium
V
Esbjerg fB - Denmark
20:00
SV Zulte Waregem - Belgium
V
Wigan Athletic - England
20:00
St. Gallen - Switzerland
V
FC Kuban - Russia
20:00
Pandurii - Romania
V
FC Dnipro Dnipropetrovsk - Ukraine
22:05
Tottenham Hotspur - England
V
Tromso - Norway
22:05
SS Lazio - Italy
V
Legia Warsaw - Poland
22:05
Real Betis - Spain
V
Olympique Lyonnais - France
22:05
FC Dinamo Kiev - Ukraine
V
KRC Genk - Belgium
22:05
Maccabi Haifa - Israel
V
AZ Alkmaar - Netherlands
22:05
FC Thun - Switzerland
V
SK Rapid Wien - Austria
22:05
SC Freiburg - Germany
V
Slovan Liberec - Czech Republic
22:05
Vitória Guimarães - Portugal
V
HNK Rijeka - Croatia
22:05
PAOK FC - Greece
V
Shakhter Karagandy - Kazakstan
22:05
Estoril - Portugal
V
Sevilla FC - Spain
22:05
Apollon Limassol - Cyprus
V
Trabzonspor - Turkey
22:05
FC Sheriff Tiraspol - Moldova
V
FC Anzhi - Russia

EUROPA LIGI
Tarehe Mechi za Makundi:
-Siku ya Mechi ya 1: 19 Septemba
-Siku ya Mechi ya 2: 3 Oktoba
-Siku ya Mechi ya 3: 24 Oktoba
-Siku ya Mechi ya 4: 7 Novemba
-Siku ya Mechi ya 5: 28 Novemba
-Siku ya Mechi ya 6: 12 Desemba

No comments:

Post a Comment