Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, September 29, 2013

MESSI AFIKA MAHAKAMANI KUHUDHURIA KESI YAKE YA UKWEPAJI KODI.


Relaxed: Barcelona forward Lionel Messi was smiling as he arrived at court in Gava to face tax fraud charges MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi na baba yake wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Hispania kujibu mashitaka ya ukwepaji kodi yanayowakabili. Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina mwenye umri wa miaka 26 ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara nne mfululizo na baba yake Jorge Messi wanatuhumiwa na mamlaka kwa kukwepa kodi inayokadiriwa kufikia euro milioni nne.
Wote wawili wanahisiwa kutumia kampuni za nje kuuza haki za kutumia picha ya Messi kinyume cha utaratibu. Messi na baba yake walikana tuhuma tuhuma hizo ambazo zilifanyika katika kipindi cha mwaka 2007 na 2009.Star attraction: Plenty of supporters turned up to see Messi arrive at court to face tax fraud charges
Watu wengi walisonga kumuona  Messiwengine wakitaka kumpiga picha
Charged: Messi's father Jorge arrives at court in Gava to face charges of tax evasion
Baba Wa Messi, Jorge alipofika kituoni  Gava

No comments:

Post a Comment