Bao la dakika ya 87 la Tom Clarke wa Preston, iliyokuwa ikumana na mahasimu wao Blackpool, lilitosha kusababisha vurugu zilizomlazimisha mwamuzi kuvunja pambano. Hapa farasi wa polisi akimkanyaga na kumjeruhi mlinzi wa uwanjani
Kocha wa Blackpool, Paul Ince na mchezaji wa kikosi hicho ambaye ni mwanaye, Tom Ince, wakiondoka uwanjani baada ya vurugu kutulia.
Mashabiki wa Preston wakiwa katika sehemu ya kuchezea 'pitch' wakitoka nje baada ya mechi yao na Blackpool kuvunja huku wakiwa mbele kwa bao 1-0.
Polisi wakiwatanya mashabiki.
Tom Clarke akishangilia bao lake lililosababisha vurugu na kuvunjika kwa mechi hiyo.
Tom Clarke wa pili kushoto akifunga kwa kichwa bao dhidi ya Preston North End.
Tom Ince wa Blackpool akiwatoka mabeki wa Preston katika kipindi cha kwanza cha pambano hilo
Tom Clarke akichuana na Jack Robinson wa Blackpool.
Makocha, Simon Grayson na Paul Ince wakibadilishana mawazo kabla ya mchezo huo kuanza
No comments:
Post a Comment