Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, August 2, 2013

SWANSEA YAIFUNGA MALMO MABAO 4-0, EUROPA LEAGUE

Deadly: Wilfried Bony scored twice for Swansea as he looked to make his mark after a £12million move

Wilfried Bony akishangilia baada ya kufunga bao la pili kumbuka Bony ni mchezaji mpya klabuni  hapo Swansea baada ya kununuliwa kwa £12million na kwenye mchezo huu alionekana hatari
Pouncing: Michu's goal came from a slip by Malmo defender Filip Helander
Michu akifunga bao dakika ya 37 kipindi cha kwanza na kuwafungulia Swansea.
Jana Usiku Mechi za kwanza za Raundi ya Tatu ya Mtoano ya EUROPA LIGI zilichezwa.
Ahead: Spanish striker Michu celebrates after giving Swansea the lead with a cool finish
Hakunaga!! Michu akishangilia baada ya kuwaliza Malmo
On hand: Bony scored a powerful header to doubles Swansea's lea in the second-half
Bony akifunga bao jingine kipindi cha pili dakika ya 60Scouting report: Manchester United manager David Moyes was in the stands - they face Swansea in their first Premier League game of the new season
Kocha Mpya wa Manchester United manager David Moyes alikuwepo kuwacheki Swansea hapa wakigawa dozi
Big lead: Alejandro Pozuelo rounded off the victory by scoring the Swans fourth
Alejandro Pozuelo akishangilia baada ya kumaliza kuwafungia bao la mwisho Swansea dakika ya 86 ya mchezo
Good start: Michael Laudrup looks on with his side giving him some optimism for the coming season
Mwanzo mzuri wa kocha Michael Laudrup....swali ni kwamba je ataendelea hivi hivi kwa msimu huu mpya wa ligi kuu England!!?
Midfield: New signing Jonjo Shelvey played his first competitive game for Swansea since moving from Liverpool
Mchezaji wa zamani wa Liverpool Jonjo Shelvey nae hapa alionekana akicheza kwa makini aliyeahamia Swansea
Class: Michu takes the ball past Malmo's Simon Strathern in the first-half
Michu akimtoka mchezaji wa Malmo
VIKOSI:
Swansea: Vorm, Rangel, Amat, Williams (c), Davies, Britton (Canas 80), Shelvey, Dyer (Pozuelo 73), Routledge, Michu (De Guzman 66), Bony.
Subs not used: Tremmel, Taylor, Chico, Lamah.
Booked: Amat
Goals: Michu 37, Bony 55, 60, Pozuelo 86.
Malmo: Dahlin, Albornoz, Jansson, Helander, Ricardinho, Hamad (Kroon 82), Halsti, Thern, Friberg (Forsberg 67), Rantie, Eriksson (Johansson 76).
Subs not used: Olsen, Rakip, Konate, Cibicki.
Booked: Ricardinho, Friberg, Eriksson.
Ref: Paolo Mazzoleni
Att: 16,176

No comments:

Post a Comment