Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, August 2, 2013

BAYERN YAIFUNGA MAN CITY 2-1 KOMBE LA AUDI2013, MARIO MANDZUKIC AFUNGA BAO LA USHINDI

Mario Mandzukic akiwapelekesha wachezaji wa City na kuipa ushindi Bayern wa 2-1 dhidi ya City waliofunga bao wakiwatangulia wenzao.Battle: Bayern's Toni Kroos holds off a challenge from new City signing Alvaro Negredo Bayern Munich wakicheza kwao Jijini Munich wametwaa Audi Cup baada ya kutoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuifunga Manchester City Bao 2-1.
Man City, waliotangulia kufunga, walipata Bao lao kupita Alvaro Negredo lakini Bao za Thomas Müller na Mario Mandzukic zikapindua gemu na kuipa ushindi Bayern Munich.
Bao la Negredo lilifungwa baada ya Dakika 60 na kudumu Dakika 5 tu wakati Muller aliposawazisha kwa Penati baada Pablo Zabaletta kuunawa Mpra.
Baadae Mario Mandzukic akafunga Bao la pili na la ushindi kwa kichwa kufuatia krosi ya Muller.
Katika Mechi ya awali ya kusaka Mshindi wa Tatu, AC Milan iliifunga Sao Paulo Bao 1-0 kwa Bao la Kingsley Boateng, Chipukizi kutoka Ghana.

On the run: Dedryck Boyata chases down Bayern Munich's French winger Franck Ribery
 Dedryck Boyata akimkimbiza mchezaji Winga wa  Bayern Munich Franck Ribery hapa...Thwarted: Manuel Neuer was quick off his line to deny Samir Nasri
Mlinda mlango Manuel Neuer  akiwa kwenye patashika na Samir Nasri
Ahead: Alvaro Negredo celebrates giving Manchester City the lead after the hour mark
Mchezaji mpya wa City  Alvaro Negredo akifurahia hapa baada ya kuipachikia bao City na kuwa mbele ya bao moja

Equaliser: Thomas Muller slots home his penalty to bring Bayern Munich level
Thomas Muller akifunga mkwaju wa penati
VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm (Weiser 90), Dante, Martínez, Alaba, Thiago (Mandzukic 57), Schweinsteiger, Kroos (Rafinha 59), Robben (Shaqiri 57), Ribéry, Müller,
Goals: Muller (pen) 65, Mandzukic 72.
Manchester City: Pantilimon, Zabaleta, Kompany, Boyata, Clichy, Fernandinho, Nasri, Milner, Barry (Toure 46), Jovetic (Navas 46), Negredo (Dzeko 75).
Goals: Negredo 61.

No comments:

Post a Comment