Vipodozi: Unajua hatari ya Kope bandia, wanja na rangi ya mdomo unayotumia?
-
Je, wewe huosha brashi zako za mapambo mara ngapi? Umewahi kuazima ujiti wa
kupakia wanja kutoka kwa rafiki au kujipaka rangi ya mdomo dukani?
Post a Comment