![Busby babe: Rio Ferdinand with the baby he was handed at the signing session](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/17/article-0-1AD94676000005DC-612_634x605.jpg)
Rio Ferdinand akiwa na mtoto aliyekabidhiwa wakati wa zoezi la kusaini.
![Here you go: The baby was wearing a Manchester United bib](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/17/article-0-1AD94622000005DC-556_634x380.jpg)
![My decade as a Red: Ferdinand, who will have a testimonial later this summer, signed copies of his book](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/17/article-0-1AD94646000005DC-619_634x402.jpg)
Mlinzi wa Manchester United Rio Ferdinand amekabidhiwa mtoto wakati wa zoezi la utiaji saini katika kitabu chake kipya mjini Sydney.
Anazindua kitabu hicho ambacho kitakuwa na jina la 'Rio: My Decade as a Red' in the United Kingdom uzinduzi ambao utafanyika Agosti 9 lakini mashabiki wake wa Sydney wakiwa wamepata fursa ya kukiona muonekana wake mapema.Kitabu hiki kinaelezea safari nzima ya mlinzi huyo ndani ya Old Trafford tangu ajiunge nayo ikiwa ni pamoja na maisha yake binafsi.Kina jumuisha muonekano wa mawazo ya Sir Alex Ferguson na Rio wakati ambapo kuna picha zilizo chukuliwa kutoka katika video na kujumuisha maoni ya marafiki zake mashuhuri.Kupitia katika mitandao ya mauzo mitandao ya Amazon na Waterstones, kitabu hicho kimeelezewa kama 'a visual and anecdotal gem'.
![Arrival: Ferdinand went to a book store in Sydney to sign the copies](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/17/article-0-1AD945FE000005DC-326_634x418.jpg)
![The book, which also features video segments of Ferdinand's celebrity friends, is sure to be a real treat](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/07/17/article-0-1AD944C2000005DC-412_634x405.jpg)
No comments:
Post a Comment