DYNA, H.BABA, KITALE NA MASELE WAPAGAWISHA MWANZA UZINDUZI WA ALBAM YA KALA JEREMAYA
Msanii wa kizazi kipya almaarufu kama Dyna akiimba leo Ijumaa hii usiku kwenye Uzinduzi wa Album ya Kala Jeremaya kwenye ukumbi wa raha Jijini Mwanza Villa Park Resort.
Msanii wa kizazi kipya Dyna akiimba nyimbo yake ya Nivute kwako Djz wakifanya mambo yao jukwaani Msanii wa kizazi kipya Dyna akiimba huku mashabiki wakipagawa na nyimbo zake
Shabiki ilibidi apande jukwaani kumsindikiza Dyna
Ilikuwa patashika Villa Park usiku huu Masele amewashika vilivyo mashabiki wake. Msanii H.Baba akiwa ameshilia album mpya ya Kala Jeremaya usiku huu ambayo imezindulia leo hii rasmi ikiwa na nyimbo Kala Jeremaya kama kawaida yake kutikisa jukwaa ...full mizuka ikiwapanda mashabiki wake leo hii wakati anazindua Album yake ya PASAKA yenye nyimbo kibao 23 ambayo pia amedai kuwa kuifanisha album hiyo ilimchukua muda wake mwingi wa kukaa studio na pia ikiwa ni album moja wapo ya kumjenga kimuziki hapa nchini na nje
Mashabiki wakimsikiliza Kala Jeremaya wakati akitumbuiza
No comments:
Post a Comment