Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, April 28, 2013

BARCELONA UBINGWA BADO, BAADA YA ATHLETICO BILBAO KUSHINIKIZA SARE !!



KLABU ya Barcelona inabidi isubiri wiki nyingine ili iweze kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu nchini Hispania baada ya Athletico Bilbao kulazimisha sare ya mabao 2-2 Jana huku mahasimu wao Real Madrid nao wakijichimbia katika nafasi ya pili baada ya kuwafunga ndugu zao Atletico Madrid mabao 2-1. Ushindi wa Barcelona dhidi ya Bilbao na kama mahasimu wao Madrid wangefungwa katika mchezo wao ungeiongezea pengo la alama 16 Barcelona huku wakiwa wamebakiwa na mechi hivy moja kwa moja kutangazwa mabingwa wapya wa La Liga. Lakini kwa matokeo yalivyokuwa jana Barcelona bado wana mchezo mmoja zaidi ili waweze kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu. Barcelona ina kibarua kigumu Jumatano ijayo mbele ya Bayern Munich ambapo inatatakiwa kupata ushindi wa zaidi ya mabao manne ili iweze kukata tiketi ya kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza.
Magic: Messi skips past three defenders on the edge of the box (above) before scoring (below)
Messi akichomoka wachezaji 3 na kufunga bao
Magic: Messi skips past three defenders on the edge of the box (above) before scoring (below)
Messi akichomoka mabeki kabla ya kufunga bao


MSIMAMO TIMU 6 ZA JUU.
2012/2013 Spanish Primera División Table
Overall
Home
Away
POS
TEAM P W D L F A
W D L F A
W D L F A
GD Pts
1 Barcelona 33 27 4 2 101 35
15 1 0 53 11
12 3 2 48 24
66 85
2 Real Madrid 33 23 5 5 85 31
14 2 0 53 14
9 3 5 32 17
54 74
3 Atletico Madrid 33 21 5 7 58 27
14 1 2 41 10
7 4 5 17 17
31 68
4 Real Sociedad 32 15 10 7 57 39
9 5 2 32 15
6 5 5 25 24
18 55
5 Malaga 33 15 8 10 47 38
9 4 4 30 17
6 4 6 17 21
9 53
6 Valencia 32 15 8 9 52 46
11 3 3 37 25
4 5 6 15 21
6 53

No comments:

Post a Comment