Licha ya kukosekana kwa Kipa Wojciech Szczesny, Jack Wilshere na Bacary Sagna mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Arsenal walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao Bayern Munich ambao walikuwa nyumbani.Olivier Giroud akifunga goli dakika ya tatu
Olivier Giroud akishangilia baada ya kuipatia timu yake Arsenal goli la mapema
Mlinda mlango wa Bayern Munich Manuel Neuer akijaribu kuushikilia mpira kwa lengo la kupoteza muda baada ya kufungwa bao la pili. |
Olivier Giroud ndiye aliyekuwa kuwapa faraja mashabiki wa Arsenal kunako dakika ya tatu ya mchezo.
Laurent Koscielny akaandika bao la pili katika dakika za mwisho mwisho za mchezo wa mchezo hata hivyo safari ya washika mitutu hao ikaishia hapo kufuatia faida ya bao la ugenini walilopata Bavarians katika mchezo wa kwanza uliopigwa katika dimba la Emirate.
Laurent Koscielny akifunga bao la pili.
Olivier Giroud akifunga bao la mapema kunako dakika ya tatu
Thomas Rosicky akipigwa kadi ya njano baada ya
kumfanyia madhambi Arjen
Robben
Javi Martinez (kulia) akiudonyoa mpira kuharibu
mipango ya Mikel Arteta.
Mario Mandzukic akionekana kushangaa maamuzi ya mwamuzi.
Bosi wa Arsenal
Arsene Wenge akilalamika kwa mwamuzi wa
pembeni juu ya maamuzi ya mwamuzi wa kati.
Wenger akipiga kelele
kupinga maamuzi ya mwamuzi wa kati.
Luis Gustavo (kilia) akipambana na Santi Cazorla katika ya
uwanja.
Thomas Muller naye akimlalamikia mwamuzi wa pembeni kipindi cha
kwanza.
Arjen Robben akichotwa na Kieran
Gibbs.
Kiungo wa zamani wa
Bayern Owen Hargreaves alikuwa ni mmoja wa watazamaji katika dimba la
Allianz Arena
No comments:
Post a Comment