
Balotelli akifunga bao la kwanza dhidi ya Palermo

Mabao ya Mario Balotelli ambaye amekuwa akiifungia AC Milan karibu kila Mechi tangu ahamie hapo kutoka Manchester City Mwezi Januari kumeifanya AC Milan ijizatiti nafasi ya 3 kwenye Serie A wakiwa na Pointi 54 na juu yao ni Napoli wenye Pointi 56 na kileleni ni Juventus wenye Pointi 65 huku Mechi zikiwa zimebaki 9.

RATIBA/MATOKEO:
SERIE A
Jumamosi Machi 16
Catania 3 Udinese 1
Bologna 0 Juventus 2
Jumapili Machi 17
Siena 0 Cagliari 0
AC Milan 2 Palermo 0
Torino 1 Lazio 0
Sampdoria v Inter Milan [Imehairishwa]
Napoli 3 Atalanta 2
Pescara 0 Chievo Verona 2
Fiorentina 3 Genoa 2
AS Roma 2 Parma 0
No comments:
Post a Comment