Wachezaji wa Uzuri wakicheza mpira uwanja wa Karume |
Wachezaji wa timu ya Uzuri wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Karume baada ya mchezo waliokuwa wacheze na Evergreen kutofika na Uzuri kupewa pointi tatu na mabao mawili |
Wachezaji wa Mtibwa na Simba B wakichuana kwenye mchezo wa fainali uliofanyika hivi karibuni uwanja wa Taifa kwa timu ya Simba kutwaa ubingwa wa super 8. |
No comments:
Post a Comment