Mshambuliaji Fatuma Mustapha wa Sayari akikimbilia mpira ambao beki wa Uzuri alikuwa anaondoa langoni mwao wakati wa mchezo uliochezwa uwanja wa Karume |
Kiungo mshambuliaji wa Sayari Husna Ayoub akijaribu kumiliki mpira uliokuwa kwenye himaya yake |
Mshambuliaji wa Uzuri Jamila Kassim akipiga cross kuelekea lango la wapinzani wao Sayari juzi kwenye mchezo wa kiporo ilichezwa uwanja wa Karume |
No comments:
Post a Comment