Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon upande wa wanaume, Gefrey Kipchumba kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:03 kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi jana. |
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathoni upande wa wanawake, Grace Kimanzi kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:13kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi jana |
Washiriki wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathoni wakiwa katika mashindano hayo mapema jana Mjini Moshi |
Babu Joram Mollel katikati akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo, pamoja na Mkurugenzi wao Simon Karikari kwa pamoja na kauli mbiu yao TUMETISHA KAMA BABU.
|
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari akiwa na mzee Joram Mollel maarufu kama BABU, mara baada ya kumaliza mbio za kilomita 21 zijulikanazo kama Tigo Kili Half Marathon. |
No comments:
Post a Comment