LIGI Kuu
Tanzania Bara inatarajia kuendelea kesho katika viwanja viwili ambapo mabingwa watetezi Yanga watacheza na
Ndanda kwenye Uwanja wa Uhuru huku Mtibwa wakiwakaribisha Majimaji Uwanja wa
Manungu Turiani Morogoro.
Yanga wanashuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya sare 1-1 ya African Lyon waliyoipata mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja huo wa Uhuru.

Mtibwa wao
walishinda wa mabao 2-0 waliopata kwa Ndanda FC ugenini hivyo inaweza ikawa
chachu kufanya vizuri mchezo wa leo.
Kocha Mkuu
wa Yanga, George Lwandamina ameendelea na mazoezi na kikosi chake na
mshambuliaji Donald Ngoma amefanya mazoezi na wenzake baada ya kukosa mchezo
uliopita akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Kwenye mazoezi yanayofanyika katika Uwanja wa Uhuru, wachezaji wa Yanga wameonekana kujinoa vilivyo kwani wanataka ushindi kutoka kwa Ndanda FC ambapo mechi ya awali walitoka sare Mtwara.
Leo Yanga wakiwa katikati ya mazoezi, timu ya Ndanda walifika wakitaka kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru ndipo Lwandamina alisitisha mazoezi na kuwaruhusu wachezaji kwenda kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kesho.

Endapo Yanga
watashinda mchezo wa leo watafikisha pointi 40 na kubaki kwenye nafasi ya pili
na nafasi itaendelea kubaki kwa Simba yenye p[ointi 41.
Mtibwa wamejizatiti kushinda mchezo baada ya kutoka na ushindi ugenini dhidi ya Ndanda na wamesema kuwa raundi hii ya pili itakuwa ni ya ushindi tu kwao hawatakubali kupoteza mchezo wowote.

No comments:
Post a Comment