ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA BOLTON.

RASMI: ARSENAL
YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA BOLTON.
KLABU ya Arsenal imetangaza kukamilisha usajili wa beki Rob Holding kwa
mkataba wa muda mrefu kutoka Bolton Wanderers inayoshiriki ligi daraja
la tatu hivi sasa. Chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 20, amecheza
mechi 30 msimu uliopita wakati Bolton ikishushwa kutoka katika ligi ya
ubingwa msimu uliopita. Akihojiwa na mtandao wa klabu hiyo, Holding
amesema kuichezea Arsenal ni ndoto aliyokuwa nayo toka mtoto hivyo
anafurahi kupata nafasi hiyo. Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti
kuwa Arsenal imelipa kiasi cha paundi milioni mbili kwa ajili ya kupata
saini ya Holding ambaye anaweza kucheza beki wa kati au namba nne. Huo
unakuwa usajili wa tatu kufanywa na meneja wa Arsenal Arsene Wenger
kiangazi hiki baada ya kiungo Granit Xhaka na mshambuliaji Takuma Asano.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Post a Comment