CRISTIANO RONALDO MWANASOKA WA KWANZA KUONGOZA LISTI YA FORBES YA WANAMICHEZO WANAOLIPWA JUU
Ronaldo anaweka Historia ya kuwa Mwanasoka wa Kwanza kabisa kuwa Nambari Wani ya Listi hiyo ya Wanamichezo 100 wa Juu wanaolipwa zaidi baada ya kuvuna Dola Milioni 88 katika Miezi 12 iliyopita akipata Dola Milioni 6.6 zaidi ya Lionel Messi ambae ameshika Namba 2.
Kepteni wa Manchester United, Wayne Rooney, anashika Namba ya 49 kwenye Listi hii.
Listi hii ya Forbes ya Wanamichezo 100 inajumlisha Mishahara na Bonasi na Mapato toka Matangazo ya Wadhamini kwa Kipindi kati ya Juni 1, 2015 na Juni 1, 2016.
|
JINA |
MCHEZO |
Mapato (Dola Milioni) |
|
Cristiano Ronaldo (Portugal) |
Football |
88.0 |
|
Lionel Messi (Argentina) |
Football |
81.4 |
|
LeBron James (USA) |
Basketball |
77.2 |
|
Roger Federer (Switzerland) |
Tennis |
67.8 |
|
Kevin Durant (USA) |
Basketball |
56.2 |
|
Novak Djokovic (Serbia) |
Tennis |
55.8 |
|
Cam Newton (USA) |
American football |
53.1 |
|
Phil Mickelson (USA) |
Golf |
52.9 |
|
Jordan Spieth (USA) |
Golf |
52.8 |
|
Kobe Bryant (USA) |
Basketball |
50.0 |
|
Lewis Hamilton (England) |
Formula One |
46.0 |
|
Tiger Woods (USA) |
Golf |
45.3 |
|
Eli Manning (USA) |
American football |
45.0 |
|
Joe Flacco (USA) |
American football |
44.5 |
|
Tom Brady (USA) |
American football |
44.1 |
|
Floyd Mayweather (USA) |
Boxing |
44.0 |
|
Rory McIlroy (Northern Irelandl) |
Golf |
42.6 |
|
Russell Wilson (USA) |
American football |
41.8 |
|
Sebastian Vettel (Germany) |
Formula One |
41.0 |
|
Philip Rivers (USA) |
American football |
38.0 |
Post a Comment