Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, January 21, 2016

Real Madrid yaongoza kwenye orodha ya klabu tajiri duniani

klabu tajiri


2B9BA77B00000578-0-image-a-11_1440366431695
Kikosi cha Real Madrid.

Real Madrid ya Hispani imefanikiwa kuongoza katika listi ya klabu tajiri duniani katika orodha iliyotolewa na kampuni ya Deloitte ambayo inajihusisha na kufatilia matumizi na ukusanyaji wa fedha kwenye vilabu.
Katika orodha imeyotolewa na kampuni hiyo imeitaja Real Madrid kama klabu tajiri duniani ikiwa na utajiri unaokadiliwa kufikia Pauni Milioni 439 kwa mwaka 2014/2015 na ikifuatiwa na washindi wa kombe la ligi ya mabingwa Ulaya, Barcelona ambayo inautajiri wa  Pauni Milioni 427.
Nafasi ya tatu inakamatiliwa na Manchester United ambayo imeshuka kwa nafasi moja kutoka nafasi ya 2 na sasa inashika nafasi ya tatu ikiwa na utajiri unaokadiliwa kufikia Pauni Milioni 365.2.

No comments:

Post a Comment