CRISTIANO RONALDO ASHINDA BALLON D'OR
CR7
On receiving the award, Rodriguez said: "I'd like to thank everybody who has voted for me.
"This was a very special moment for me and everyone in Colombia. I feel incredibly happy."
Germany coach Joachim Low was earlier named FIFA Coach of the Year.
Meanwhile, Wolfsburg Women's coach Ralf Kellermann was named the FIFA female Coach of the Year, before honouring the late Junior Malanda.
The FIFPro World XI was the first award revealed at tonight's ceremony in Zurich.
FIFPro World XI - Neuer; Lahm, Ramos, Silva, Luiz; Kroos, Iniesta, Di Maria; Messi, Ronaldo, Robben.

Lionel Messi and his wife Antonella Roccuzzo

FIFA FIFPro World XI
Here is the first award, and it is to be presented by Alessandro Del Piero - not the worst person you could receive an award from.
The team is coming up in just a second - in a 4-3-3 formation...
GOALKEEPER: Manuel Neuer (Bayern Munich and Germany)
DEFENDERS: Phillip Lahm (ex-Germany and Bayern Munich), David Luiz (Brazil and PSG), Thiago Silva (Brazil and PSG) and Sergio Ramos (Real Madrid and Spain)
MIDFIELDERS: Andres Iniesta (Spain and Barcelona), Toni Kroos (Germany and Real Madrid) and Angel di Maria (Argentina and Manchester United)
FORWARDS: Cristiano Ronaldo (Portugal and Real Madrid), Lionel Messi (Argentina and Barcelona) and Arjen Robben (Holland and Bayern Munich)
BALLON D'OR 2014:
RONALDO AMPIGA BAO MESSI TENA, JAMES ASHINDA TUZO YA BAO BORA, LOEW
AMSHINDA ANCELOTTI TUZO YA KOCHA BORA.
MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo
amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2014
inayojulikana kama Ballon d’Or kwa mara ya pili mfululizo. Nahodha huyo
Ureno amefanikiwa kushinda tuzo akiwazidi mshambuliaji wa Barcelona
Lionel Messi na golikipa wa Bayern Munich Manuel Neuer. Kwa upande wa
wanawake kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Wolfsburg ndiye
aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa wanawake huku kiungo wa
kimataifa wa Colombia James Rodriquez akinyakuwa tuzo ya bao la mwaka.
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani aliyeiwezesha nchi hiyo kutwaa taji
la Kombe la Dunia nchini Brazil mwaka jana Joachim Loew ndiye
aliyeshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka.
Mbali na tuzo pia kulikuwa na uteuzi wa kikosi bora cha mwaka ambapo
wachezaji walioteuliwa ni pamoja na golikipa Neuer, mabeki ni Philipp
Lahm, David Luiz, Thiago Silva na Sergio Ramos, viungo ni Andres
Uniesta, Tony Kroos na Angel Di Maria huku washambuliaji wakiwa Arjen
Robben pamoja na Messi na Ronaldo.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Post a Comment