Marekani yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Iran, Trump aonya kuhusu
kulipiza kisasi kufuatia vifo vya wanajeshi
-
Jeshi la Marekani lasema limefanya duru nyingine ya mashambulizi dhidi ya
Iran ili "kudhoofisha zaidi" uwezo wake wa kushambulia meli katika Lango la
Hormuz.
3 hours ago







