Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, August 9, 2015

CHELSEA 2 vs 2 SWANSEA CITY, KIPA COURTOIS AONESHWA KADI NYEKUNDU

Gomis akishangilia kwa aina yake baada ya kusawazisha baoJohn Terry akimzonga mwamuzi baada ya kiputeLawama zote kwa WaamuziKocha Jose Mourinho nae yale yale akitembeza maneno Uwanjani hii leo, lakini kilichoonekana wazi ni kwamba alichukia kuona dokta wa timu kuingia kumtibu Uwanjani Eden Hazard wakati muda umeisha na bila kuwasiliana na meza kubwa.Nje!! Out!Jose Mourinho akitoa akitupia jambo kidole, kwamba alichukia kuona dokta wa timu kuingia kumtibu Uwanjani Eden Hazard wakati muda umeisha na bila kuwasiliana na meza kubwa na huku wakiwa pungufu uwanjani.Patashika kwenye lango kipa Lukasz akiokoa 1-1Ayew akipongezwa baada ya kusawazishakwa mbali Chelsea wakiwa hoiKipa hakuonna ndaniSehemu ya Chelsea wakishangaa maamuzi ya refa kwenda kombo na waoDiego Costa akipagawa chini baada ya refa kupeta
Radamel Falcao aliingizwa kipindi cha pili lakini hakuleta mapyaFederico na Diego Costa Eden Hazard akituliza mpira kiuzuriJose Mourinho akitoa maelezo kwa Wachezaji wakeGomis akiisawazishia bao Swansea na kufanya 2-2Kipa mwingine aliingia kujaza nafasi baada ya kuoneshwa kadi nyekundu yule wa kwanza CourtoisKipa Courtois akimkanyaga kwa teke tumboni GomisMpaka chini..Swansea wanasawazisha bao kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Gomis dakika ya 55 na kufanya 2-2.
Kipa wa Chelsea anaoneshwa kadi nyekundu Courtois!
Chelsea wanapata pigo na kuaki 10 uwanjani stamford Bridge!

Penati.....Andre Ayew aliisawazishia bao Swansea dakika ya 29 kwa kufanya 1-1, Chelsea walizinduka na kupata zawadi ya bao la kuongoza la pili lililozama langoni mwa lango la Swansea kwa kubabatizwa kupitia kwa Federico Fernández na kujifunga kupitia kwa shuti kali la Willian. Kwa sasa Chelsea wanaongoza kwa bao 2-1
kipa Lukasz na mpira langoni walipojifunga


Oscar akishangilia bao lake lililozama moja kwa moja kupitia shuti lake la mpira wa adhabu kipindi cha kwanza na kufanya 1-0.Diego Costa kaanza.
VIKOSI:

Swansea: Fabianski, Naughton, Fernandez, Williams, Taylor, Ki Sung-Yueng, Shelvey, Sigurdsson, Ayew, Montero, Gomis
Chelsea: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Willian, Oscar, Hazard; Diego Costa


USHINDI DHIDI YA SWANSEA CITY

No comments:

Post a Comment