Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, November 4, 2015

ROONEY AMALIZA UKAME WA MABAO OLD TRAFFORD AIPA USHINDI UNITED WA 1-0 DHIDI YA SCKA MOSCOW

Rooney akishangilia bao lake la pekee baada ya kuipa bao Man United katika dakika ya 79 kipindi cha pili.Ushindi huu umewapaisha kileleni Man United kwa kupata pointi 7, anayefuata ni PSV ana pointi 6, Wolfsburg nae 6 na wa mkiani ni SCKA anazo pointi 4 katika grupu lao BRooneyJesse Bastian akiendesha mpira Fellaini akiingia Uwanjani kuchukua nafasi ya Martial.Meneja wa Man United Van Gaal Mlinda mlango wa Man United De GeaMartial akichomoka na mpiraWayne Rooney Chris Smalling akikacha na mpiraRooney  na AlanJesse akiachia shuti kaliIgor na Wayne Rooney
Anthony Martial Jesse kenye patashika na kipa wa CSKA MoscowVIKOSI
Manchester United:
De Gea, Young, Smalling, Blind, Rojo, Schweinsteiger, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.
Akiba: Romero, Jones, Darmian, Pereira, Ander Herrera, Depay, Fellaini.
CSKA Moscow: Akinfeev, Fernandes, Ignashevich, A. Berezutski, Schennikov, Wernbloom, Z. Tosic, Dzagoev, Milanov, Natcho, Musa.
Akiba: Chepchugov, Vasin, Nababkin, Golovin, Panchenko, Doumbia
Walipo Man United

No comments:

Post a Comment