Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, November 4, 2015

LOUIS VAN GAAL AMTAKA ANTHONY MARTIAL KUSHAMBULIA

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal anahisi kuwa mchezaji Anthony Martial ataongoza safu ya mashambulizi katika siku za usoni.
Mchezaji huyo wa miaka 19, aliyesajiliwa kutoka klabu ya Monaco kwa pauni milioni 36, mnamo mwezi Agosti amefunga mabao matano msimu huu, lakini amekuwa akichezeshwa upande wa kushoto, ikiwemo mechi ya jumanne dhidi ya CSKA Mosco.
"ni kijana mdogo sana, lakini ni bora iwapo ataimarika kama mshambuliaji", alisema Van Gaal.Van Gaal

No comments:

Post a Comment