Rais wa TFF, Jamal Malinzi 9kulia0 na Katibu Mkuu wa TFF Selestine Mwesigwa |
Dirisha
la Usajili kwa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Ligi Daraja la kwanza
(FDL), na Ligi Daraja la Pili (SDL) linatarajiwa kufungwa kesho Alhamis saa
sita usiku.
Shirikisho
la Mpira wa Miguu nchini (TFF), linavikumbusha vilabu vyote vinavyoshirki msimu
mpya wa 2015/2015 kuhakikisha vinakamilisha usajili wa wachezaji wao kabla ya
dirisha la usajili kufungwa kesho.
Kipindi
cha dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la
Pili kilifunguliwa Juni 15, 2015 na kitamalizika kesho kwa awamu ya kwanza ya
usajili.
No comments:
Post a Comment